Viwanja vinauzwa kunduchi mtongani bei nafuu

Viwanja vinauzwa kunduchi mtongani bei nafuu

kwenyula

Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
43
Reaction score
126
1. Ukubwa ni 40 X 40 square Miter

Bei ni Million 50

Kiwanja kipo umbali karibu miter 500 kutoka bagamoyo Road. Na pia kipo karibu na kambi ya jeshi ya kunduchi. Maji umeme vyote vipo karibu.Hiyo bei sio ya udalali.

fcacde947a6033d7d723125dcc19c449.jpg

2. Ukubwa ni 15X 20 square meter.

Bei ni million 15

Hipi pia kipo maeeneo hayo hayo mbele yake kuna barabara pana ya mtaa.umeme na maji vinapatikana kwa ukaribu.

a8841329a29cf69bb1f832149eda58e2.jpg

3. Ukubwa ni mita 18 x 18

Kinauzwa million 15

Ndani ya kiwanja kuna nyumba ya vyumba viwili na sebule ila vya udongo na watu wanaishi.

Umeme na maji vipo karibu sana na kuna barabara pana ya mtaa mbele yake.

c5201c2ef9034b17d58a194d8130f34a.jpg

Kwa mawasiliano nicheck kwa namba hii

0625 547 961
Kwa picha zaidi check hizi. Zipo kwa mtiririko kama ulivyo hapo juu.

DSC_2397.JPG
DSC_2404.JPG
DSC_2405.JPG
 
Viwanja vizuri ila kwangu vyuma bado vimekaza.
 
Hivi viwanja ni vyako au??
Vina documents gani??
 
Nilivyouliza ni vingine,
na nilivyojibiwa ni vingine kabisa
Haha..umeuliza kujiridhisha ili ununue na mimi nikakujibu kwa kukuridhisha ili ununue.

Kwakifupi sio vyangu ila vyajamaa zangu. Kuhusu documents zipo na saivi eneo hilo kuna zoezi la upimaji.

Hili ni moja ya bikono zinazowekwa na kampuni iliyopewa zabuni ya upimaji ktk eneo hilo.

dff7f08b2f41426c484737aafc037082.jpg
 
Ahsante sana Mkuu, nimekuelewa vilivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom