Nahitaji mbao zilizotumika (used)

Nahitaji mbao zilizotumika (used)

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,916
Reaction score
4,168
Kama una mbao ambazo ushatumia tayari na unauza tuwasiliane, hata kama hujazitumia ila unauza bei ya chini kidogo.

Nipo sinza. Sehemu yoyote kwa dar nitazifata kama unazo.

********NShapata tayari. *******
 
Kama una mbao ambazo ushatumia tayari na unauza tuwasiliane, hata kama hujazitumia ila unauza bei ya chini kidogo.

Nipo sinza. Sehemu yoyote kwa dar nitazifata kama unazo.
mbao zipo, je unataka za aina gani za lenter/linta au za kuezekea nyumba?
 
Back
Top Bottom