Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Office for rent is urgently required Location: within Ilala District preferably along Uhuru road Dar es Salaam budget: from 150,000 Contact 0788705051
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Nyumba inauzwa Ipo mwanza Wilaya ya Ilemela Maeneo ya Igoma Ina vyumba vikubwa Vitatu vya kulala Dining Room Living Room Jiko na choo vya ndani pamoja na store Bei Mil 35 kwa mawasiliano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Amani kwenu!! Nahitaji chumba na sebure kati ya Mbezi africana mpaka makumbusho. Bajeti isizidi 100k.napatikana kwa 0784199394
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Habari ndugu msomaji wa tovuti yako pendwa, Leo kuna habari nzuri ambayo nahitaji kukushirikisha leo hapa hapa. Habari yenyewe inaihusu Application ambayo sasa hivi umerahisishiwa zaidi na unaweza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nyumba ipo mbezi juu mnara wa voda, masana hospital kwa juu kidogo Ni Apartment zipo 3 kwenye fanc, vyumba 3 kimoja self Bei 450,000/ = maji umeme vyote vipo vya kujitegemea Mawasiliano zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba nijue bei ya hii display ndugu yangu anahitaji.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu Naomba kujulishwa commission ya uuzaji wa luku kupitia Selcom. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
CONTACTS : WhatsApp, sms & Call : +255763110764/+255625689363 Karibu uwekeze ktk Aridhi na mashamba ya miti Zifuatazo ni faida utakazonufaika: 1.Shamba la miti litakunufaisha ufikiapo mda wa...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
Kwa Tz publishers wanaotaka kupata traffic kupitia fb nauza facebook page yenye 52k likes. Bei maelewano. Pia mwenye page above 800k likes na anauza tuwasiliane Aliye tayari ani inbox M.Byabato
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu naomba msaada kwa mtu anaefaham maduka yakuuza FIRE EXTUNGUISHER za jumla hapa mwanza asanteni
0 Reactions
1 Replies
601 Views
Habari za jioni ndugu Ningependa kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa kuna kiwanja kizuri kabisa kinauzwa kwa ajili yako Kiwanja kipo Goba, eneo ni zuri kwa wewe utakayependa kujenga sehemu ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji simu ya tecno used c8 au c9,na isiwe imetumika sana na isiwe na tatzo lolote.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiwe na ukubwa wa kuanzia 25/30 au 30/30 mjin kabisa yaan pale pale barabarani kisiwe mbali
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza simu yangu infinix note3 Color: Gold Display: 6 inches GB: 16 internal Ram: 2gb Karibuni!
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Wakuu, natafuta frem maeneo ya mbezi beach kuanzia tangibovu mpaka afrikana, iwe inatazama bagamoyo road.
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Kwa wauzaji wa viwanja hapa Arusha wekeni matanazo wateja watakuja.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, Naomba kuhabarishwa kuhusu gharama ya mashine ya kufyatulia tofali za inchi 4,5 na 6. Nitashukuru sana kwa msaada wenu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nahitaji mtaalamu wa maswala ya chakula au nutritions katika level ya diploma au degree. anitafute kwa namba zifuatazo 0718355635
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu, Nipo Dar es salaam, nahitaji kuku kwa wingi hasa majogoo ya kienyeji (siyo chotara). Kwa mwenye nayo aniPM hata kama ni Mkoani tutaangalia namna ya kusafirisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri ya kukodi kwa mwezi,mafuta kwangu na service kwa ajili ya kusambazia bidhaa zangu budget yanu ni 200,000/- kwa mwezi Asanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…