Nahitaji kiwanja

Nahitaji kiwanja

Bensoy

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
576
Reaction score
625
Eneo liwe linafikika kwa gari. Kama ni daladala iwe moja au mbili hadi mjini kati. Napendelea morogoro road au maeneo ya bagamoyo road. ( sio bagamoyo) kiwanja kiwe kimepimwa ni vizur zaidi. Bei ya kiwanja isizidi Tsh mil. 10. Unahakika unafikia sifa hizo nipigie 0714456020
 
Kuna kimoja kipo kigamboni million 8 na laki 5 kina hati maelewano yao ukubwa wa eneo 555
 
Back
Top Bottom