Mwenye laptop kwa bei ya magufuli

Mwenye laptop kwa bei ya magufuli

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,399
Reaction score
191,512
Nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya kawaida browsing,kuandika documents na kujibia emails. Budget ni kati ya 300-350k.Battery iwe nzima tafadhali!!!

Wenye mashine tuchekiane!
 
Nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya kawaida browsing,kuandika documents na kujibia emails. Budget ni kati ya 300-350k.Battery iwe nzima tafadhali!!!

Wenye mashine tuchekiane!
Bei ya Magufuli?! Kamuulize mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom