Basham JF-Expert Member Joined Oct 10, 2014 Posts 743 Reaction score 439 Oct 12, 2017 #1 Habari Wana Jamvi, Rejea kichwa cha habari hapo juu, Nahitaji bajaji kwa ajili ya biashara kujikomboa katika harakati za utafutaji, isiwe imechakaa sana iwe imetumika chini ya mwaka mmoja Natanguliza Shukurani Bm
Habari Wana Jamvi, Rejea kichwa cha habari hapo juu, Nahitaji bajaji kwa ajili ya biashara kujikomboa katika harakati za utafutaji, isiwe imechakaa sana iwe imetumika chini ya mwaka mmoja Natanguliza Shukurani Bm
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Oct 12, 2017 #2 watakuja wasubiri.