Mrejesho wa kuuza pajero gdi turbo

Mrejesho wa kuuza pajero gdi turbo

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
Wakuu habari za majukumu.
Namshukuru Mungu sasa naweza kutatua tatizo lililokuwa linanikabili. Nimefanikiwa kuiuza gari Kwa mwanajf mwenzetu.

Asanteni sana
 
Hongera zako na mnunuzi pia, endelea kumpa ushirikiano
 
TumekubalianaJoselela, post: 23899554, member: 411465"]Hongera zako na mnunuzi pia, endelea kumpa ushirikiano[/QUOTE]
Tumekuwa ndugu sasa na mengine yamezaliwa hapo
 
Hongera zako na mnunuzi pia, endelea kumpa ushirikiano
Samahani mkuu japo gari limeshauzwa ila naomba kuuliza, picha ya dashboard je gari lilikuwa limewaka au ni engine on pekee? Asante na hongera kwa kutatua shida yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom