Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Natafuta nyumba ya kupanga ya bei nafuu jijini Dar. Sasa natafuta mtu mwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule self au dalali mwenye nayo...
Sababu za kuhama kwenye hili mansion ninalokaa sasa hivi ni za kisiasa zaidi. Mfalme wa Magogoni kabana so natafuta namna ya kupunguza gharama za maisha ili nisije nikarudi kwetu Singida kwenye kale ka tembe nilikokakimbia...