Natafuta kiwanja Arusha

Natafuta kiwanja Arusha

Ficus

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
1,438
Reaction score
1,124
Husika na kichwa hapo juu natafuta kiwanja Arusha maeneo nayopenda hasa ni kwa Mromboo, ukubwa kuanzia mita 20/20 na kuendelea ni vyema kama ukaweka na bei yako kabisa hapa.
Asanteni.
 
Ninacho kiwanja, jirani na shule ya Intel. Mita 150 kutoka katika barabara kuu ya East Africa (Ujenzi Wa barabara unaendelea kwa kiwango cha lami).

Ukubwa wa Kiwanja ni 30m*20m

Bei ni tsh 15m taslimu. Kiwanja hakina udalali. Ni mali yangu, Mimi..Mimi mwenyewe.

Kama upo tayari...karibu sana. Unaweza kuni-PM tukabadilishana contacts
 
Kiwanja hicho kina lease?
 
Asante kwa taarifa wacha wadau wajitokeze zaidi na ofa zao then niamgalie wapi patanifaa zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom