Giannis Antetokounmpo
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 134
- 65
Lipo maeneo ya fukayosi ni ekari 4 na bbei yake ni 1 million,, tuwasiliane.
Laki tisa top top,,
Lina hati?Lipo maeneo ya fukayosi ni ekari 4 na bbei yake ni 1 million,, tuwasiliane.
Liko karibu na barabara?chukua laki sitaLipo maeneo ya fukayosi ni ekari 4 na bbei yake ni 1 million,, tuwasiliane.
Milioni moja kwa heka zote 4?Lipo maeneo ya fukayosi ni ekari 4 na bbei yake ni 1 million,, tuwasiliane.
Tufanye weekend ijayo aisee if its oky..1M kwa ekari zote nne? lina document zote? tunaweza kwenda kuliona jumaatano?
Yes eka zote nne boss
Mkuu naingia Dar jumanne/jumatano natoka alhamisTufanye weekend ijayo aisee if its oky..
Subiri nieke ratiba fresh halaf ntakujukishaMkuu naingia Dar jumanne/jumatano natoka alhamis
Okey mkuuSubiri nieke ratiba fresh halaf ntakujukisha