Nahitaji pumba za mahindi

m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,374
2,000
Wadau nahitaji pumba za mahindi,mwenye msaada wa kujua zinapatikana wapi na kwa gharama zipi snipe tafadhali
 

Mandison

Senior Member
Mar 10, 2017
186
225
Kimara mwisho ulizia pale kuna sehemu wanauza pumba kwa bei nzuri, chini ya 25,000/-
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom