Mkuu hakuna toleo la 1kz lenye petrol hiyo ni diesel sema mkuu hajakamilisha tangazo lake kwa kuweka bei...Inatumia mafuta gani kati ya diesel na petrol
Bei??wakuu nauza injini ya 1kz-te, haina tatizo iko kwenye toyota hiace super custom.
Tubadilishane na 3L enginewakuu nauza injini ya 1kz-te, haina tatizo iko kwenye toyota hiace super custom. sababu ya kuuza nataka niifanye hiyo hiace kuwa daladala na hiyo injini ya 1kz ni kubwa ina turbo haifai kwa daladala kibiashara.
Toa bei basi.wenye prado, surf, nk karibuni mchukue hili jiko
Pamoja na gear box?
Kwa bei hii ingekuwa yenye inter cooler. Ngoja ntakupa bei ya pale Ilala karibu na soko la machinga.
Ok ila kwa kawaida 3L huwa more expensive kuliko 1KZ sijui kwa nini wakati 1KZ ina power na mwendo zaidi.nisaidie pia bei ya 3L