bazoka JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 300 Reaction score 141 Oct 25, 2017 #1 Nyumba inauzwa kwa amri ya mahakama ni nzuri ya kisasa ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 30 urefu kwa 21 upana inbox me kwa maelezo zaidi
Nyumba inauzwa kwa amri ya mahakama ni nzuri ya kisasa ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 30 urefu kwa 21 upana inbox me kwa maelezo zaidi
Mbassa jr JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 1,234 Reaction score 3,238 Oct 25, 2017 #2 Picha?? Bei?? Bila vitu hivyo tutakuona tapeli
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,365 Reaction score 134,889 Oct 25, 2017 #3 NAMBA inauzwa?
bazoka JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 300 Reaction score 141 Oct 25, 2017 Thread starter #4 RRONDO said: NAMBA inauzwa? Click to expand... 0622 027490 mkuu sorry nilikuwa na haraka wakati nandaa thread
RRONDO said: NAMBA inauzwa? Click to expand... 0622 027490 mkuu sorry nilikuwa na haraka wakati nandaa thread
bazoka JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 300 Reaction score 141 Oct 25, 2017 Thread starter #5 Mbassa jr said: Picha?? Bei?? Bila vitu hivyo tutakuona tapeli Click to expand... Mbassa jr nadhani nyumba inayouzwa kwa amri ya mahakama hakuna utapeli nicheki kwa 0622 027490
Mbassa jr said: Picha?? Bei?? Bila vitu hivyo tutakuona tapeli Click to expand... Mbassa jr nadhani nyumba inayouzwa kwa amri ya mahakama hakuna utapeli nicheki kwa 0622 027490
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,522 Oct 25, 2017 #6 bazoka said: 0622 027490 mkuu sorry nilikuwa na haraka wakati nandaa thread Click to expand... weka picha tuione husije kutuuzia mbuzi kwenye gunia
bazoka said: 0622 027490 mkuu sorry nilikuwa na haraka wakati nandaa thread Click to expand... weka picha tuione husije kutuuzia mbuzi kwenye gunia
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,365 Reaction score 134,889 Oct 25, 2017 #7 bazoka said: 0622 027490 mkuu sorry nilikuwa na haraka wakati nandaa thread Click to expand... Umekosea kichwa cha habari umeandika NAMBA INAUZWA.
bazoka said: 0622 027490 mkuu sorry nilikuwa na haraka wakati nandaa thread Click to expand... Umekosea kichwa cha habari umeandika NAMBA INAUZWA.
bazoka JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 300 Reaction score 141 Oct 25, 2017 Thread starter #8 RRONDO said: Umekosea kichwa cha habari umeandika NAMBA INAUZWA. Click to expand... Duh asante mkuu kwa kunijuza
RRONDO said: Umekosea kichwa cha habari umeandika NAMBA INAUZWA. Click to expand... Duh asante mkuu kwa kunijuza
bazoka JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 300 Reaction score 141 Oct 25, 2017 Thread starter #9 Anayetaka picha anicheki kwa namba niliyoweka hapo nimtumie