Ninauza majogoo aina ya kroilers/chotara

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Habari za kazi!
Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni.
Shukrani.
 
Wana wastani wa kg ngapi kila mmoja?
 
Habari za kazi!
Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni.
Shukrani.
njoo pm
 
Unapatikana Dar es salaam sehemu gani. Na wana wastani wa kilo ngapi
 
Yaani watu wengine vilazaaaa,,,,,dar kubwa sana wilaya gani mkuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom