abelexpeditor
Member
- Jan 27, 2017
- 67
- 30
Habari za umundani Viongozi,naomba kujua kampuni yeyote ambayo inanunua mchaichai(lemonglass) moja kwa moja kutoka shambani Kama ipo au mawakala wapo naomba mawasiliano tafadhari. Hata njia ya jinsi ya kuwapata