Dagaa safi toka Bukoba rasmi wanapatikana

Dagaa safi toka Bukoba rasmi wanapatikana

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Wale wanaohitaji dagaa wa Bukoba wasio na mchanga tayari wamewasili,wanapatikana eneo la taliani Kama unaelekea chanika bei yetu ni shilling 7500/= kwa kilo.
Karibuni Sana
b781956e7ce1211ce74f0472c6482db2.jpg

f843dbf1415f62db0ea4cca68d296e36.jpg
 
mnapoweka matangazo weken taarifa zote bidhaa! Mnaweza kukosa wateja kwa kuweka taafifa zisizokamilika kuhusu bidhaa. Je ni jumla au rejareja?!
 
Back
Top Bottom