Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Je wewe ni mwajiri au mwajiriwa wa kazi za nyumbani? Umeajiri msichana wa kazi za nyumbani na ana matatizo?ni mwizi,mjeuri, anatabia mbaya isiokupendeza na hujui cha kumfanya wala wapi...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Heshima kwenu The Great Thinker. Matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea na mchakamchaka wa kusakata gurudumu la Maisha. Kwa upande wangu na familia hatujambo na tunamshukuru Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wakuu, Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 (zingatia hapa nimevipima mimi mwenyewe na havina hati) vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari... Leo nawaletea mzigo tajwa hapo juu.. In mint condition...inakuja simu,cable,2covers.. Bei Tsh 800,000... Nipo Morogoro, ila ukiwa wahitaj kuiona weekend zote nipo dar.. 0787 408180...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa uhitaji wa fundi mzuri na mwaminifu wa umeme wa majumbani na viwandani njoo inbox tuongee wala hutojutia kwa kazi nzuri nitakayokufanyia
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu ina sifa nyingi nzuri Ram 2GB Internal 16GB Betri 4000mAh Fast charge Duos (zote 3G)
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauza pikipiki ya platina 125 Ina kadi Ina helmet 2 Ipo gongolamboto, dsm Mawasiliano: 0625561339
0 Reactions
21 Replies
4K Views
  • Closed
Kwa anae hitaji mkopo ndani ya masaa 24 kuanzia laki1 na kuendelea ani tafute hata pm,ila awe na vigezo hivi; .awe mtumishi wa umma(serikali) .mshahara wake uwe una pitia hazina. ukiwa tayari...
0 Reactions
148 Replies
11K Views
habari naomba vijana tuchekiane watsap +255656202162 tujuzane mabadiliko ya biashara yenye kipato zaidi.
0 Reactions
2 Replies
595 Views
Wasalaam Naomba msaada nimetenga laki 7-8 kwa ajili ya simu,je ni simu gani nzuri zaidi kwa bei hiyo ambayo itanifaa? NB;napenda sana simu nyembamba na nyepesi,pia camera bora kwa ajili ya...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Habari ndugu wana JF. Naomba kuuliza hotel au lodge nzuri iliyopo maeneo ya baharini beach Tanga ... Nataka nikatembee kidogo nipumzishe akili yangu na stress za maisha. Msaada please
0 Reactions
2 Replies
895 Views
Wadau, Wana Vitendo SACCOS wote na wote ambao bado hawajajiunga na Vitendo SACCOS... Tunafuraha kuchukua fursa hii ya kuwakaribisha na kuwaalika nyote kuhudhuria mkutano wetu wa kawaida wa...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nahitaji mwalimu wa tuition wa Masomo ya A - level Adv.maths, Geography na Economics.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyumba inapangishwa iko Morogoro,kihonda magorofani karibu na St.Fransis seminary,Ina vyumba Vitatu,Master Moja na vyumba vingine viwili.Ina public toilet,kitchen na sitting room Pia Ina fance na...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
habari wanajamvi, naweza kupata maelezo na sehemu ambapo ntaweza kupata utaalam wa kufungiwa tracker kwenye chombo cha usafiri kama pikipiki au bajaj kwa ajili ya kujua ilipo na kuona mienendo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TOYOTA LITEACE NOAH Noah SR40 2000 M EXTRA OPTIONS :AFTERMARKET ALLOY WHEELS 15" Automatic gear/Aircondition/radio system petrol engine model 1999 TOYOTA PASSO Anti-Lock Brakes / Driver Airbag...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu mr.busin£ss supplier Tunajihusisha na usambazaji wa dagaa wa kukaangwa kutoka ziwa victoria (mwanza) kwa bei nafuu kabisa ni dagaa safi wasio na mchanga ni watamu sana...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom