Mkopo mkopo

Otto Mendez

Member
May 1, 2017
50
13
Salaam zenu wana jf,Mimi ni mfanyabiashara mdogo namiliki lodge ila nilikuwa nahitaji mkopo wa kumalizia lodge yangu nyingine.
Naomba mwenye uelewa wa bank nzuri inayotoa mikopo kwa riba nafuu au kama mabanker au loan officers umu ni pm.
 
Asante kwa ushauri kiongozi coz nahitaji pesa nyingi kidogo. Ivi wale CRDB microfinance wazuri?
Kama ndio unaenda kukopa kwa mara ya kwanza Kama mkopaji binafsi sio kampuni Na kama una mzunguko na biashara nzuri nadhani wanaweza kukupa hadi 15ml!
 
Nilikuwa kama sole proprietor ila kwa sasa nimefungua kampuni ila ina miezi miwili,kwaiyo nimebadilisha kutoka sole proprietorship to company. Hapo imekaaje kiongozi?
 
Mimi binafsi nilianzaga kuchukua mkopo nilipokuwa sole proprietor, nakumbuka nilianza na 15ml NMB, nikaenda 30ml baade nikasajiriwa kama SME! Hapo ndipo niliweza kuvuta mpunga mwingi kutoka kwao!!
 
Ok nimekusoma kiongozi ila nataka niwatembele equity,dtb,crdb nijue utaratibu wao
 
Back
Top Bottom