Nauza Tecno L8 lite iko vizuri


K

kilanio

Senior Member
Joined
May 30, 2015
Messages
199
Likes
61
Points
45
Age
30
K

kilanio

Senior Member
Joined May 30, 2015
199 61 45
Habari wakuu nauza simu tajwa,hiz ni baadh tu ya sifa zake


Haina tatizo lolote,ni L8 Lite 5-Inch IPS (1GB Ram, 16GB ROM) Android 6.0 Marshmallow, 8MP real camera+ 2MP front camera, ina support games zote kubwa,fast browsing, haina michubuko yeyote ...

Napatikana dar kitunda-ukonga 0627288599

Bei yake ni nimeipunguza hadi 140,000 fixed...karibuni Sana
ba1689e2be90b6b677be101937195d25.jpg
2317b37c624cd56a40a0d9cd26a40721.jpg
71f67a65376edb05ffeb63fcb0c54fb3.jpg
 
K

kilanio

Senior Member
Joined
May 30, 2015
Messages
199
Likes
61
Points
45
Age
30
K

kilanio

Senior Member
Joined May 30, 2015
199 61 45
Nimeipunguza bei hadi 140,000 fixed
 
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
1,066
Likes
1,328
Points
280
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
1,066 1,328 280
Mi nauza tecno N8 kwa sh. 120,000/= nipo Morogoro, imetumika mwezi
 
Tanki

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Messages
412
Likes
67
Points
45
Tanki

Tanki

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2013
412 67 45
Mkuu me uwezo wangu ni 80,000 hata sasa hivi ukitaka nakuja ulipo nakuletea
 
K

kilanio

Senior Member
Joined
May 30, 2015
Messages
199
Likes
61
Points
45
Age
30
K

kilanio

Senior Member
Joined May 30, 2015
199 61 45
Mkuu me uwezo wangu ni 80,000 hata sasa hivi ukitaka nakuja ulipo nakuletea
Mkuu uko vizur,ila kwa pesa hyo,si vyema kwa simu hii,bora ikae ndani tuu
 

Forum statistics

Threads 1,235,905
Members 474,863
Posts 29,239,910