Nahitaji mashine ya juice ya miwa

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,196
2,020
Habari bangudu na jamaa.Nataka kuanza biashara ya kuuza juice inayotokana miwa hivyo nahitaji mashine.Lakini pia naomba na ushauri wa kitaalamu na uzoefu wa biashara katika nyanja za
1)Aina ya kampuni/brand inayotoa mashine imara.
2)Aina ipi ni nzuri kati ya hizi(ya umeme,jenereta,mkono).
3)Uzoefu namna ya kuendesha hii biashara.
NOTE.Kuna baadhi ya member ambao huweka phone number wakidai wanazo lakini ukiwatafuta hawapatikani hewani.Naomba mnisaidie.Ukiweka na bei utakuwa umenisaidia sana ñaimani na wengine wengi.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.Ahsante
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom