Tupo kwa ajili ya vyama vya ushirika nchini, karibuni

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,364
Natumahi ujumbe huu utawakuta mkiwa salama salimi,

Nina habari njema kwa viongozi au wanachama wa vyama vya ushirika saccoss, kuwa sasa taasisi ya jikuze Business Solution imepewa kibari cha kufanya kazi kama wakala wa ukusanyaji wa madeni sugu, kutoa mafunzo, na kufanya ukaguzi kwa vyama vyote nchini. tafadhari sanaaa karbuni sana!

kwa maelezo zaid, tukutane PM ILI tuwekanae sawa!
 
nenda kamisheni ya ushirika pamoja na shirikisho la vyama vya ushirika tanzania unaweza pata pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom