Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari njema kwa wenye uzito mkubwa,vitambi na tatizo la kisukari. Wasiliana nami nikupe ufahamu na suluhisho la matatizo hayo kwa simu nambari 0654267459
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kilichopimwa,Chenye documents kinauzwa. Mahali; Sofu Kibaha picha ya ndege,km 2 toka main road ya Dar-Chalinze.Upande wa kushoto wa gereza kama unatokea Dar. Ukubwa; 750 meters square...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
gari inahitajika hapa mwanza la chini ya shilingi mil 5 lisiwe six cylinder
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Ndugu yangu mambo yangu hayapo vizuri kabisa. Napambana lakini hali bado mbaya. In short vyuma vimekaza. Nimefikiria nimeona humu kuna watu wengi na tofauti tofauti, naomba kuwaomba kwa kuwa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wana JF! Kwa wenye mahitaji ya bima za:- 1. Magari (Motor Insurance) 2. Majengo (Buildings Insurance) 3. Viwanda vikubwa na Vidogo (Industrial/ Manufacturing Risks) 4. Hasara inayoweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kwema humi ndani? Mimi naishi Mbeya nimepata kahela kidogo. Sasa wazo langu nikufanya biashara ya nguo za watoto. Naombeni kujua ni mtaji kiasi gani unafaa kuanzia na mzigo naweza pata wap...
0 Reactions
1 Replies
47K Views
Habari zenu wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, kama kuna yeyote anahitaji karanga aje tufanye biashara.Mfano; ukihitaji karanga gunia 100. Nakupa bei ya huku kama utakubaliana nayo...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari zenu jukwaani, Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:- 1-mafeni mawili ya solar 2-taa 8 za solar 3-Amplifier ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ipo salasala lami mpya, km 1.5 kutoka Bagamoyo Road Vyumba 3 self na kimoja cha kawaida jumla yake 4 Size plot 600sqm Bei 220m Maongezi yapo Mawasiliano +255756060183
2 Reactions
36 Replies
9K Views
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba. Kina...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ofaaa:KWA TSH 45,000/= TU. UTAPATA SETI YA SUFURIA ZA KEKI PAMOJA NA VIFAA VYA KUPAMBIA KEKI. Utafikishiwa popote pale ulipo ndani ya Dar es salaam bila malipo Na Kwa mikoani tunaagiza. WASILIANA...
1 Reactions
1 Replies
12K Views
nahitaji juice dispensar na double door showcase fridge nione msg
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Asalaam Aleykum! Wahenga naombeni mnitafutie soko la haya mawe maana bado sijapata.Kuna watu nimewaona Site wanayachimba na KIJIKO na kujaza kwenye SEMI TRAILER na gari huwa linaelekea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni sales consultant wa TUNAKOPESHA LTD, ni taasisi ya fedha inayotoa mikopo kwa watumishi wa serikali Tz kws riba nafuu na kwa haraka mikopo hutolewa kuanzia 500,000 - 20,000,000 Tsh...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza simu hiyo iphone 5, iko poa nakupa na chaji yake ina cover imara sana bei ni tsh.400,000 mazungumzo yapo karibuni No 0628593076
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Fridge laki tatu, Sofa coach laki tano, Kapeti elfu hamsini Simu tecno w3 Nipo tabata kimanga
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ziko mbili Chanika dsm Zote tshs 150, 000 tu Sijazitumia kwa mda mrefu Zinahitaji marekebisho. Compressor zake ni nzima kabisa Anaehitaji ani PM
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Professional Crossover na Equalizer vyote kutoka kampuni ya dbx vinauzwa kwa bie sawa na bule na vyote ni vipya kabisa bei ni 230,000, wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Piga namba 0686 719 815 au...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu habarini mimi naitwa Avittrust niko hapa jijini tanga nina kituo cha kufundisha tution kama kichwa kinavoelezea hapo natafuta wanafunzi niwafundishe tution...katika kituo changu ...haswa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom