dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Vyumba 3 self na kimoja cha kawaida jumla yake 4
Size plot 600sqm
Bei 220m
Maongezi yapo
Mawasiliano +255756060183
View attachment 634992View attachment 634993
Hahaaa aiseeh safi itapendeza sana,fanya kuniunganisha naeMsubirie Kamanda wetu Dr Shikka Kidd anakuja kubid 350 nadhani itapendeza sana..
Hii avatar ni mwisho😀Mpigie Dr shika tayari kashalipia bima ya pesa zake
Ghorofa ni jiraniMbona kama zipi mbili, na hiyo ya ghorofa ipo ndani ya uzio?
Ndio mkuu hati ipommmh!ni ni eneo lenye hati?
Asante sn mkuuGhorofa ni jirani
Wapi huko mkuu? ...tuambiane..!Kwa hiyo bei najenga zaidi ya nne
Duh! Ila sio mjini hapa lambda kule kwetu matomboKwa hiyo bei najenga zaidi ya nne
Hahaaa nasubr uongeze dau kidogoMia itapendeza zaid..