Yeyote anayehitaji vitabu anitafute

Yeyote anayehitaji vitabu anitafute

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,558
Reaction score
14,309
Ndugu yangu mambo yangu hayapo vizuri kabisa. Napambana lakini hali bado mbaya. In short vyuma vimekaza.

Nimefikiria nimeona humu kuna watu wengi na tofauti tofauti, naomba kuwaomba kwa kuwa napendelea kuwa mtandaoni hasa kupakua vitabu basi yeyote mwenye uhitaji serious wa kitabu(softcopy) fulani anitaarifu nami nimtafutie ila kwa malipo kidogo hata elfu moja au elfu mbili ( nikifanikiwa kumtumia)
 
Duh! kweli vyuma vimekaza mwezi huu nimesoma mada kama 3 hapa jf watu wakiomba msaada. Ila mkuu nakupa hongera wewe hujaomba sio kama wengine. kila la kheri
 
Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana!
 
Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana!
Hivi ni kwa nini huwa akili zenu zinawatuma muwaambie watu wanaohitaji msaada wakalime? Weye umewahi kulima? Unaujua utamu WA kulima? Acheni kuvuta bangi hadi mnashindwa kushauri.
 
Hivi ni kwa nini huwa akili zenu zinawatuma muwaambie watu wanaohitaji msaada wakalime? Weye umewahi kulima? Unaujua utamu WA kulima? Acheni kuvuta bangi hadi mnashindwa kushauri.
Watu husema hivyo, sababu wanaona Kulima ni kama Chaguo la Mwisho baada ya mambo yote kufail.

Ni sawa na zamani kozi ya ualimu. Mwanafunzi wa form four akipata dev.IV anaambiwa aende ualimu.
 
Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana!
Nina mishe zangu mkuu ila naona haziendi poa ndio maana nikasema wapo watu huwa na uhitaji serious wa soft copy ya kitabu Fulani ila anakuwa anashindwa jinsi ya kukipata, so ananiambia nami natumia muda na bundle kukitafuta nikikipata namtumia naye ananipa walau buku. Ni kama kusaidiana na wala sio inshu ya kutoka kimaisha. No permanent solution mkuu. Wapi nimesema kwetu Muheza?
 
Watu husema hivyo, sababu wanaona Kulima ni kama Chaguo la Mwisho baada ya mambo yote kufail.

Ni sawa na zamani kozi ya ualimu. Mwanafunzi wa form four akipata dev.IV anaambiwa aende ualimu.
Siku hizi ualimu sio chaguo la mwsho ?
 
Mzee mi ngoja nikuunge Mkono....ntafutie "the sweaty of mango" mtunzi Sjui nan
 
Jamani kilimo sio lelemama, I mean economic farming! So watu MTU anashindwa kupata Alf 20, yuko mjini unamshsuri akalime? As if kulima ni kuchimba chimba ardhi!! Kilimo kinataka rasilimali,: mtaji aina zote, weledi, uhakika wa soko nk...ambavyo ni challenge kwetu wengi.
 
Naomba unitafutie kitabu cha "ART OF WAR" kimeandikwa na Kiongozi mmoja wa China kama sikosei anaitwa "MAO"
 
Naomba unitafutie kitabu cha "ART OF WAR" kimeandikwa na Kiongozi mmoja wa China kama sikosei anaitwa "MAO"
Sawa mkuu ungependa nikutumie kwa njia gani?
 
Back
Top Bottom