Msaada kufunga Solar system

HatibuZ

Member
Dec 27, 2013
20
15
Habari zenu jukwaani,

Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1-mafeni mawili ya solar
2-taa 8 za solar
3-Amplifier ya bomba la watts 80 AC lkn ina option ya DC.

So nataka kujua ninunue
-Panel ya watts ngapi?
-Battery ya ukubwa gani ... 100 Ah au 200 Ah au ngapi?
-Regulator ya size gani?

Nitashukuru sana nikipata ufafanuzi,

Ahsanteni
 
Mkuu Habari, je ulifanikiwa naona wadau humu hawakufunguka, kama ulifanikiwa naomba kujua mana mimi nataka solar lakini sitotumia AC.
 
Bora hata wewe unaewaza solar, mi umeme wa Tanesco umenichosha mnooo utadhani umeme wa msaada
 
Habari zenu jukwaani,

Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1-mafeni mawili ya solar
2-taa 8 za solar
3-Amplifier ya bomba la watts 80 AC lkn ina option ya DC.

So nataka kujua ninunue
-Panel ya watts ngapi?
-Battery ya ukubwa gani ... 100 Ah au 200 Ah au ngapi?
-Regulator ya size gani?

Nitashukuru sana nikipata ufafanuzi,

Ahsanteni
Mh tangu April had Leo bado majibu?
 
Nunua kioo cha watts 100 2pcs
Bettery 100 Ah 2pcs.
Regulator control 20Amp.
Invt' watts1000.
Hapo nikwamatumizi ya Ac na dc full power taa 12/16.
Kwamatumizi ya vifaa vya dc tuu unaweza chukuwa Kioo kimoja Bettery Moja ina tosha.
 
Back
Top Bottom