Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba.
Kina...
Ofaaa:KWA TSH 45,000/= TU.
UTAPATA SETI YA SUFURIA ZA KEKI PAMOJA NA VIFAA VYA KUPAMBIA KEKI.
Utafikishiwa popote pale ulipo ndani ya Dar es salaam bila malipo Na Kwa mikoani tunaagiza.
WASILIANA...
Asalaam Aleykum!
Wahenga naombeni mnitafutie soko la haya mawe maana bado sijapata.Kuna watu nimewaona Site wanayachimba na KIJIKO na kujaza kwenye SEMI TRAILER na gari huwa linaelekea...
Mimi ni sales consultant wa TUNAKOPESHA LTD, ni taasisi ya fedha inayotoa mikopo kwa watumishi wa serikali Tz kws riba nafuu na kwa haraka mikopo hutolewa kuanzia 500,000 - 20,000,000 Tsh...
Professional Crossover na Equalizer vyote kutoka kampuni ya dbx vinauzwa kwa bie sawa na bule na vyote ni vipya kabisa bei ni 230,000, wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Piga namba 0686 719 815 au...
Wakuu habarini mimi naitwa Avittrust niko hapa jijini tanga nina kituo cha kufundisha tution kama kichwa kinavoelezea hapo natafuta wanafunzi niwafundishe tution...katika kituo changu ...haswa...
Habari wakuu, nahitaji bajaji iliyo kwenye hali nzuri hapa dsm... tafadhali tuwasiliane haraka pesa ipo tyari....tafadhali utapeli ni kosa kisheria natoa tahadhari kaa mbali.
We provides you with the right financial tools to get the personal or business funding you need. We can help you turn an adverse situation into a positive outcome. We offer all kinds of financial...
Aina ni Sony Xperia c6833
Android version ni 5.1.1
Ram 2 bg...
Internal memory 16gb,cam mp 8
Sim Used Imetoka ulaya najua wengi wenu vyuma vimekaza ntawauzia kwa 350000/ bei ya kuuza sim Haina...
Habari, Natafuta chumba cha kuweka studio ya Muziki, Chumba kiwepo Magomeni au Kinondoni, Budget yangu ni 70000 kwa mwezi, Chumba kiwe mahali penye usalama na pasipo na Kelele nyingi. Kisiwe...
Habari wadau,[/SIZE]
Ninauza Toyota Hilux double Cabin 2.8 Diesel, Manual Transmission.
Bei ni 8,500,000 (8.5 M) mazungumzo yapo kwa serious buyer.
Gari ipo Bunju; Dar es salaam.
Mawasiliano...
Unasumbuliwa na fangasi,rangi kubanduka kwa muda mfupi jibu lipo kutana na mafundi waliobobea katika maswala ya skimming na rangi nasi tutakutatulia tatizo hilomawasiliano:0692940943
Tupo Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.