maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,493
- 3,382
Asalaam Aleykum!
Wahenga naombeni mnitafutie soko la haya mawe maana bado sijapata.Kuna watu nimewaona Site wanayachimba na KIJIKO na kujaza kwenye SEMI TRAILER na gari huwa linaelekea dar,nimewadadisi ili nijue soko lake na bei lakini hawakutaka nijue chochote.wanatumia KATAPILA MPYA,SEMI TRAILER BADO INADAI na vibarua.Baada ya kufanya upembuzi yakinifu nimegundua yana thamani kutokana na gharama wanayoitumia katika kuyachimba kua kubwa.Mi niko Dar but weekend hua naenda shamba so kitendo cha kuendelea Kuwaona wanaingiza hela wakati hata mimi najua pa kuyachimba kichwa kinaniuma sana