Nguo za jumla za watoto.

Nguo za jumla za watoto.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Wakuu kwema humi ndani?
Mimi naishi Mbeya nimepata kahela kidogo.

Sasa wazo langu nikufanya biashara ya nguo za watoto. Naombeni kujua ni mtaji kiasi gani unafaa kuanzia na mzigo naweza pata wap i kwa bei ya jumla huko Dar?

Pia ningeomba kujua changamoto za hii biashara kwa ujumla.
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom