Nipe offer ya 2TB External HDD

Nipe offer ya 2TB External HDD

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,622
Habari.
Waungwana hebu naomba offer zetu (in term of cost) kwa ajili hard drive ya ukubwa wa 2tb iwe externa na brand new (sealed) na kabila liwe transcend..
Niko serious na nahitaji haraka.
Hii ni maeneo ya dar hasa ubungo .
Asanteni
Nahitaji haraka iwezekanavyo...
 
ungesema ww upo wapi na mawasiliano yako mm ni mtu nisie julikana
 
Habari.
Waungwana hebu naomba offer zetu (in term of cost) kwa ajili hard drive ya ukubwa wa 2tb iwe externa na brand new (sealed) na kabila liwe transcend..
Niko serious na nahitaji haraka.
Hii ni maeneo ya dar hasa ubungo .
Asanteni

Mi naanza kwa offer ya laki moja.

80,000/= Tshs.

Je ni mpya na (sealed)
Brand gani?

Ebana kama bado ipokwa offer hiyo njoo Pm tuyajenge

Waungwana bado sijapata
Mkuu naona jamaa hawajakuelewa wamejua wewe ndio unauza[emoji23][emoji16][emoji2]
 
Back
Top Bottom