Nauza na kununua mbwa aina ya pitbull

Nauza na kununua mbwa aina ya pitbull

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,520
Reaction score
2,820
Hawa ni aina ya mbwa wenye nguvu sana na wako very agressive ukiwalea vibaya
Ni breed yenye nguvu kuliko zote na hamna mbwa anaeweza kuzungumza mbele ya pitbull
Wamebreediwa kuuwa mbwa wengine japo ukiwaraise vizuri wanakuwa wazuri tu
Ni mbwa wenye kichwa kikubwa sana( mara mbili zaidi ya kichwa cha binadam mkubwa), waliowaona in real life watakubaliana nami

Ukiwa nao nanunua kwa bei ya chini
Na ukitaka kuuza niuzie nachukua
9e4f442ffe65262dc190e56f993e13c5.jpg
 
Boss mm kuna jirani yangu anao ila baba ni pitbull mama yao ni American dog so watoto ni chotara kama unahitaji nicheki
 
Hawa ni aina ya mbwa wenye nguvu sana na wako very agressive ukiwalea vibaya
Ni breed yenye nguvu kuliko zote na hamna mbwa anaeweza kuzungumza mbele ya pitbull
Wamebreediwa kuuwa mbwa wengine japo ukiwaraise vizuri wanakuwa wazuri tu
Ni mbwa wenye kichwa kikubwa sana( mara mbili zaidi ya kichwa cha binadam mkubwa), waliowaona in real life watakubaliana nami

Ukiwa nao nanunua kwa bei ya chini
Na ukitaka kuuza niuzie nachukua
9e4f442ffe65262dc190e56f993e13c5.jpg

Nilikuwa nao ila walikufa baada ya kuingiliwa na nyuki kwenye zizi lao. Kwa sasa nina Boerboel 6, hawa ni zaidi ya pitbull na wananifanya nisijutie kupoteza wale mbwa wangu wa mwanzoni (pitbull).
 
Boerboel nawajua
Ni mbwa wa kisouth
Ni wazembe na si ngangali kama pitbull
Pitbul aina gan uliokuwa nae
Maana nilienae anakichwa kikubwa cha boerboel mara moja na musu
 
Back
Top Bottom