gari ipo kariakoo mr pia unaruhusiwa kuja kuiangalia bei ni milioni 47 inapunguaweka bei yake kwanza, ipo wapi tunaruhusiwa kuja kuiona?,
Yaani Mjomba ndio umeamua kuiuza hii Gari jamani,sasa kijijini kwetu Mlimba tutaendaje?gari ipo kariakoo mr pia unaruhusiwa kuja kuiangalia bei ni milioni 47 inapungua