Mizani inuazwa

Mizani inuazwa

nyanjiiii

Senior Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
112
Reaction score
73
Jamani kuna mizani mikubwa inauzwa ni industrial scale inaweza kupima hadi kg 3000, inafaa sana kwenye biashara ya kupima mizigo mikubwa, atakayehitaji ani PM nimuanganishe na mhusika,
 
Ni movable Scale, namaanisha inasogea kufuata mzigo wa kupima, ama ni Mizigo inaufuata Mzani...!?
 
Back
Top Bottom