Ipo soko gani?Wadau nauza simu yangu aina ya Samsung S5. Ni nzima kabisa nimetumia mwaka sahvi. Betri inayokaa na charge sku nzima huku ukitumia.
Nauza sababu nmenua Iphone6. Nayo nyingine S7. Zote natumia mwenyewe. Offer 250,000tsh. Haipungui.. karbun
Majengo SokoniIpo soko gani?