Mziki wa Gari Complete bei poa

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
224
67
Salaam wadau..nauza mziki wa gari Complete yaani Radio,booster na woofer.Radio ni Kenwood original inayocheza DVD.MP3.MP4 na USB drives...ni soft touch na inadivx.Booster ni ya inches 12 na woofer watts 1200.Nimevitumia kidogo.Bei ni laki 5 vyote.Kwa mawasiliano zaidi 0689900000
1466009464000.jpg
1466009479567.jpg
1466009518907.jpg
1466009559137.jpg
1466009588358.jpg
 
pia nashukuru kwa offer zenu wakuu ila zipo chini sana kwani booster tupu nlinunua laki 190..woofer laki 1i0...radio laki 6
 
pia nashukuru kwa offer zenu wakuu ila zipo chini sana kwani booster tupu nlinunua laki 190..woofer laki 1i0...radio laki 6
Hiyo Redio ina nini kikubwa zaidi cha kuifanya iuzwe laki 6??
Na nikitaka Booster na Subwoofer bila redio utanifanyia ngapi??
 
Hali ni ngumu...lakini bei yangu ni laki 5...Mziki huu hapa Dar unauzwa dukani laki 9 kwa redio pekee
 
Mmh ukata huu bei sasa.. hiyo radio ina bluetooth pia au la..?

Hela za Magufuli ngumu sana
 
Hiyo booster peke yake bei gani? Na naweza kuitumia kwa umeme wa tanesco au mpaka nitafte transfoma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom