massimu jr
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 542
- 595
Habari zenu wana JF, me ni mfanyabiashara ambaye nanunua mpunga kwa wakulima then nakoboa na kuuza mchele kwa jumla sasa kama mwezi hv soko limeyumba natafuta mtu ambaye anajua wapi masoko yanapatikana ili naleta mzigo au km kuna mtu anahitaji anichek tufanye biashara nipo morogoro turiani huku kilo moja kwa bei ya jumla ni 1600 ~ 1700