nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
Kwa wale wapenzi wa riwaya za kijasusi pamoja na riwaya za kijamii, napenda kuchukua fursa hii kuwatangazia juu ya ujio wa kitabu cha DIMBWI LA DAMU kilichoandikwa na marehemu BEN MTOBWA na kuchapishwa mwaka 2004, sasa kitapatikana tena kuanzia tarehe 15 ya mwezi wa kumi na mbili mwaka 2017.
pamoja na kitabu hiko, pia inapatikana orodha ya vitabu vya marehemu kama ifuatavyo
1. MIKONONI MWA NUNDA 10,000
2. NAJISIKIA KUUA TENA 10,000
3. ROHO YA PAKA 10,000
4. TUTARUDI NA ROHO ZETU? 10,000
5. MTAMBO WA MAUTI 10,000
6. MIKATABA YA KISHETANI 10,000
7. MALAIKA WA SHETANI 10,000
8. SALAMU TOKA KUZIMU 10,000
9. DAR ES SALAAM USIKU 10,000
10. KIGUU NA NJIA 15,000
11. ZAWADI YA USHINDI 7000
12. PESA ZAKO ZINANUKA.
Maduka yetu yapo Kinondoni nyuma ya jengo la airtel, posta mpya karibu na sanamu, mbele ya duka la dawa la HD, kariakoo, mnazi mmoja Pamoja na Bunju A.
kwa wale wa mikoani tunatuma mizigo.
kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0763044459 au 0712504985.
karibuni.