Habari ndugu zangu.
Nimeibiwa bag langu Jeusi ndani kukiwa na
-Laptop aina ya HP ENVY ×360 Core i5 touch screen ya Silver (System password Protected)
-External Hard drive Transcend 1TB ya Blue,
Ikiwa na Kazi nyingi za Watu na Za kwangu ambazo sina uwezo kuzipata kokote pale.
-Wallet ya Kaki ikiwa na Vitambulisho (Cha kupiga kura , Cha Uraia , NSSF Card, CRDB na NBC ATM Cards, UDRT Card, Card ya Bima ya Matibabu [Strategies Insurance].
Kulikuwa na Biblia ndogo ya Kiingereza na 4G Huawei Modem, yenye line ya Halotel na kulikuwa na line za TTCL 2.
Miwani yangu ya Macho yenye Rangi ya Brown.
Na Pia kulikuwa na Black and White Tshirt... n.k.
Wizi huo umetokea around mida ya Saa sita na dakika 20 (00h20) Usiku wa kuamkiaTarehe 22 Jumatano ndani ya ukumbi wa MILADO SINZA.
Naomba Sana Msaada kwa yoyote ataesikia ama kuona dalili ya hivi vitu vyangu asisite kunipigia kupitia namba hizi
0717 544 571
0714 775 730
Shida yangu kubwa ni kupata Data ambazo ni kazi za watu na sitoweza kuzipata kwingine.
NB: VITAMBULISHO VINA MAJINA YA
MESHACK ENOCK MWAKIBUJA
Tafadhali Sana Naomba Msaada wenu ikiwezekana nipate hivyo vitu.
TAFADHALI NAOMBA SHARE NA KWENYE MAGROUP MENGINE.
Asanteni kwa Ukarimu wenu na Mungu awabariki...