Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza vifaa vya electronic used,vipya na vilivyotumika vikiwa katika hali nzuri sana na ubora wa hali ya juu vingi ni mtumba imported nicheki PM ofisi ipo segerea mwisho ndani ya stand...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
jipatie kuku wa kienyeji ( kuku wa asili) kwa ajili ya nyama nyumbani, harusini au hotelini, pamoja na shughuli nyingne tofauti tofauti za sherehe. idadi yeyote unayo hitaji inapatikana bei...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale wanaofahamu thamani ya ardhi karibuni nauza viwanja vilivyopimwa kabisa tayari kwa ajiri ya hati viwanja viko yaleyale Puna Ni km 38 kutoka ferry,viwanja ni bomba kabisa viko mita chache...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Wadau nisaidieni mwenye taarifa sahh za soko la maboga
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Jiimarishe kiafya... Ishi Kiasili +255769321005 Umekuwa mtu wa kero, fedheha, heshima imepotea na huna amani katika ndoa yako kwa sababu umekumbwa na tatizo la.... Uume kulegea.... Uume...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
01.Eneo liko nala(Dodoma mjini)umbali wa kilomita 14 kutoka town centre na kilomita 2 toka barabara kuu ya lami iendayo mwanza/tabora/singida 02.Halijapimwa bado(tunaweza kukusaidia taratibu...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Get professional sign board designing and installation at good rates from Smart IT Solutions call:+255 652822228 whatsapp number:+255 652822228 facebook:Robert Kundi
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza nauza kiwanja kibaha karibu na Tumbi hospitali bei milioni nne na haipungui ukubwa wake ni 40*20.Picha sijaweza kuweka cause nipo mbali so nikienda nitakipiga...
1 Reactions
9 Replies
912 Views
Wana Jf, Natafuta seat ya nyuma ya Raum new model Aliyenayo tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wana jamii poleni na majukumu ya kila siku Nina bidhaa zangu zinazohitaji kupata Package nzuri za mfumo wa box Lakini pia zinahitaji kupata designing nzuri kwa ajili ya branding Nauliza kampuni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1.Kiwanja kipo maeneo ya nkuhungu dodoma mjini 2.kiwanja kina ukubwa usiopungua square metres 450 3.liko umbali wa kilomita 7 toka katikati ya mji na mita 780 toka barabara kuu ya lami iendayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa tegeta a kipo karibu na barabara, umeme [emoji736] Maji [emoji736] Makazi [emoji736] sqm 1500 kwa mil 24
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunauza montor zaina mbali mbali ila leo natoa ofa hii ya dell inch 17 tupo Dar es salaam ilala bei 70,000 number ya simu +255 719484663 au +255 789880287 whatsapp number ++255 719484663 au +255...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najihusisha na installation ya windows xp,7,8 na 10 kwenye computer aina zote na unafanyiwa installation ya program zote na antivirus kwa bei ya 10000 tu. Pia najihusisha na kuuza games za pc na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Brand:SAMSUNG Megapixels:16.2 Bright Lens:2.5 Optical Zoom: 5x Focus: 45-22.5mm 1:25-6.6 25 mm Haina shida yoyote. Ukitumia frequently inaweza kukaa na chaji masaa 48. Bei ni Tsh. 120,000/= Sent...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nipo Mwanza natafuta economy car! Kwa MTU mwenye kuweza kusaidia, anichek plz Iwe kwenye condition nzuri Iwe na radio +ac Isiwe na michubuko na isiwe record za ajali! Karibuni!
0 Reactions
3 Replies
805 Views
FRIDGE LAKI 4 ( 400,000) SOFA COACH LAKI TANO NA NUSU (550,000) KAPETI ELFU SITINI (60,000) MAWASILIANO 0768368560 au 0656119263 TABATA KIMANGA
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa riwaya za kijasusi pamoja na riwaya za kijamii, napenda kuchukua fursa hii kuwatangazia juu ya ujio wa kitabu cha DIMBWI LA DAMU kilichoandikwa na marehemu BEN MTOBWA na...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Ina scan ,print ,copy ,wifi ,ni mpya kwenye box ina kila kitu chake mawasiliano 0742597424 nipo Dar
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Habari ndugu zangu. Nimeibiwa bag langu Jeusi ndani kukiwa na -Laptop aina ya HP ENVY ×360 Core i5 touch screen ya Silver (System password Protected) -External Hard drive Transcend 1TB ya Blue...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…