Nauza viwanja vya makazi kwa bei ya kutupa..5500 tu.


Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,575
Likes
2,918
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,575 2,918 280
Kwa wale wanaofahamu thamani ya ardhi karibuni nauza viwanja vilivyopimwa kabisa tayari kwa ajiri ya hati viwanja viko yaleyale Puna Ni km 38 kutoka ferry,viwanja ni bomba kabisa viko mita chache sana kutoka ukigoni kwa bahati ya Hindi(beach)kuna umeme.

Na baadhi ya watu niliowauzia wameshaanza kujenga(wengi wao Ni diasporas) huduma zote za jamii ziko karibu sana hutajuta kumiliki ardhi katika eneo hili bei ni 5500 kwa sqm ukubwa ni wa tofauti kuanzia sqm.400 mpaka 12000 karibuni wote kwa wingi hii bei ni ya kutupa!!
 
L

laurance

Senior Member
Joined
Aug 1, 2016
Messages
107
Likes
205
Points
60
Age
42
L

laurance

Senior Member
Joined Aug 1, 2016
107 205 60
Kwa wale wanaofahamu thamani ya Ardhi karibuni...nauza viwanja vilivyopimwa kabisa tayari kwa ajiri ya hati..viwanja viko yaleyale Puna Ni km 38 kutoka ferry,viwanja Ni bomba kabisa viko mita chache sana kutoka ukigoni kwa bahati ya Hindi(beach)kuna umeme na baadhi ya watu niliowauzia wameshaanza kujenga(wengi wao Ni diasporas) Huduma zote za jamii ziko karibu sana...hutajuta kumiliki Ardhi katika eneo hili..bei Ni 5500 kwa sqm..ukubwa Ni wa tofauti kuanzia sqm.400 mpaka 12000
Karibuni wote kwa wingi hii bei Ni ya kutupa!!
Contact??
 
SIM

SIM

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
1,649
Likes
832
Points
280
SIM

SIM

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
1,649 832 280
sgm 400 ni sawa na mita ngapi kwa ngapi?
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,115
Likes
39,292
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,115 39,292 280
Puna ndio wapi
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,575
Likes
2,918
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,575 2,918 280
Alafu tujue umeme, maji na umbali toka lami
Maji Ni ya kuchimba Mwenyewe ukichimba hapana chumvi kabisa na wala hautahitaji makampuni ya kuchimba kunanjia zao kule wazawa wanajua Maji yako karibu sana...umeme upo mwingi sana Huduma za jamii zote ziko karibu
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,575
Likes
2,918
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,575 2,918 280
Naendelea kuwakumbusha wale wapenda Ardhi hii bei niliyoitangaza Ni ndogo sana naomba mchangamkie hii fursa nafanya sell ya viwanja karibuni sana!!
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,575
Likes
2,918
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,575 2,918 280
Nawashukuru sana Wateja wangu niliowauzia viwanja kutoka na Uzi huu sijui usernames zenu ila nashukuru sana kwa kuniamini...niishukuru jf kunikutanisha nanyi...
Kama bado kuna mtu anahitaji kiwanja karibuni sana viwanja bado vipi kwa bei ndogo kabisa viwanja viko karibu na bahari...wa mikoani pia mtauziwa kwa uaminifu mkubwa kabisa huna haja ya kuja dar,hati yako na ramani ya kiwanja chako unatumiwa huko huko!!
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,575
Likes
2,918
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,575 2,918 280
Wakuu habari nawakaribisha wale wote ambao wangependa kununua viwanja vilivyopimwa karibuni sana,vipo kwa bei ya kitupa..bei ni sh 4000 kwa sqm 1.viwanja viko 38 km kutoka ferry eneo linaitwa Yale Yale puna,ktk manispaa ya kigamboni,viwanja viko jirani na bahari,umeme na Huduma nyingine za kijamaa kama shule na dispensary viko karibu..
Karibuni sana,ofa ni mpaka tarehe 15 January.
Namba ya simu ni 0769468965.
 
C

COPPER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Messages
1,988
Likes
590
Points
280
C

COPPER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2012
1,988 590 280
Wakuu habae nawakaribisha sole wote wanaotaka viwanja vilivyopimwa bipo kwa bei ya kitupa..bei ni sh 4000 kwa sqm 1.viwanja viko 38 km kutoka ferry eneo linaitwa Yale Yale puna,viwanja viko jirani na bahati,umeme na Huduma nyingine za kijamaa kama shule na dispensary viko karibu..
Karibuni sana ofa ni mpaka tarehe 15 January.
Tulia andika details kwa usahihi
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,575
Likes
2,918
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,575 2,918 280
Namba ya simu ni 0769468965.
 

Forum statistics

Threads 1,237,530
Members 475,533
Posts 29,292,059