Nswima John Edward
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 612
- 312
Wadau nisaidieni mwenye taarifa sahh za soko la maboga
Me nipo Mpanda Katani nitapeleka popote penye soko Tzsoko la mboga maeneo gani au kwa mji gani??
Business Plan ni nini?Wadau nisaidieni mwenye taarifa sahh za soko la maboga
Wakazi wa Dar es Salaam wana uhitaji mkubwa sana wa mboga za majani.Me nipo Mpanda Katani nitapeleka popote penye soko Tz
Asante mkuu, nimemaanisha MABOGAWakazi wa Dar es Salaam wana uhitaji mkubwa sana wa mboga za majani.
Na kwa kuwa mboga hazipatikani kiurahisi wanakula mboga zinazolimwa na kumwagiliwa maji ya viwandani na taka taka zote za mjini unazozijua wewe, hii ni habari mbaya sana kwenye afya lakini ni fursa kubwa sana kwa mtu kama wewe kama unafanya uzalishaji kwa large scale.
Cha kufanya fungua center moja ya uuzaji wa mboga za jumla sio reja reja Wilaya ya Kigamboni, center nyingine Kinondoni na Center nyingine Ilala na nyingine temeke.
Hakikisha unauza mboga zako kwa bei ya jumla, ili wanunuzi wa reja reja waje kwako kununua na wao wakauze masokoni.
Baada ya mwaka mmoja utakuwa milionea.
Na jina lako utalibadili litakuwa Milionea Nswima John Edward , kama mimi nilivyo badili kutoka kuitwa Asigwa na sasa naitwa Bilionea Asigwa .
Mkuu naona leo kazi yako ni lusambaza hii LINK tuu, unalipwa au?