Nauza kiwanja, kipo Kibaha

Nauza kiwanja, kipo Kibaha

wenalitha

Member
Joined
Apr 24, 2016
Posts
60
Reaction score
50
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza nauza kiwanja kibaha karibu na Tumbi hospitali bei milioni nne na haipungui ukubwa wake ni 40*20.Picha sijaweza kuweka cause nipo mbali so nikienda nitakipiga picha.Ni changu mwenyewe na kina hati.Ukiwa interested ni Pm.
 
karibu na tumbi sehem gani???

naomba maelekezo mazuri.... ni upande wa kibaha sekondari au upande wa tumbi sekondari au upande wa kanisani kkkt na roma

Kipo mlemela kama unapafahamu
 
Je kimevuka kwenye upana ule wa barabara wa sheria ya mwaka1932?
 
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza nauza kiwanja kibaha karibu na Tumbi hospitali bei milioni nne na haipungui ukubwa wake ni 40*20.Picha sijaweza kuweka cause nipo mbali so nikienda nitakipiga picha.Ni changu mwenyewe na kina hati.Ukiwa interested ni Pm.

Vipi Huduma za jamii kama Maji, n'a Umeme vipo au bado
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom