DM ni chaguo sahihi kwa ajili yako..tunajishughulisha na skimming na rangi mbalimbali kwa gharama nafuu...tunatoa pia ushauri kwa mteja kutokana na mazingira ya nyumba yake pale atakapo hitaji...
1. Kuna anae jua bei ya mti ulio komaa kabisa vizuri kwa jili yaku chana mbao? Lets say mti una miaka 7-9 hivi.
2. Je mti wa aina hio ya ukomavu au basi kwa kawaida mti ulio komaa vizuri kabisa...
Kama uzi unavyojieleza ninawatafuta marafiki wa kudumu tukutane tushirikiane katika masuala mbali mbali katika kada ya ujasiriamali katika kujikomboa kutoka tulipo hadi kufikia kumiliki mamilion...
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
Je unaishi maeneo ya Kibaha Kwa Matias? Unaweza kufundisha masomo ya Commerce na Book keeping? Kama jibu ni ndiyo na unapenda kufanya kazi part time, tuandikie na kututumia cv yako na barua ya...
Nauza subwoofer aina ya Sony ni original kabisa na sio feki na inapiga CD 1 ,flash,unaweza ingiza sauti ya tv ikatokea kwenye redio,inaweza kuunganishwa na pc kupigia mziki unaweza kuunga speaker...
Hawa ni dagaa safi kutoka mwanza wamekaangwa hawana mchanga hata kidogo hii ni bei ya promotion kabisa sawa na bure kipimo ni ndoo kubwa ya maji
Napatikana Dar esa salaam mabibo
0717184353
Je, ni wangapi humu wagependa somo la ujasiriamali?
Najiandaa kuandaa somo hilo, humu jamvini, hasa kwa wamiliki wa biashara ndogondogo na wajasiriamali.
Somo litahusu taratibu mbalimbali...
Kifusi cha udongo kinapatikana maeneo ya kibaha (ujenzi), udongo upo wa kutosha na kwa bei nafuu sana, kuna kijiko(Wheel loader) cha kuchotea wewe uje na gari tu. Kwa maelezo zaidi karibu inbox...
Hello wapendwa..
MSIMU WA KILIMO Umewadia na unaendelea kwa mikoa mingine..
Jipatie mbolea nzuri ya BioPlus isiyo na Kemikali kwa matokeo mazuri zaidi!
*BIOPOWERPLUS ORGANIC FOLIO FERTILIZER*...
Habari za Asubuhi Wanajukwaa,
Natafuta fundi simu, ambaye anaweza kunitengenezea simu yangu aina ya Sony Xperia Z3+ . Kuna fundi alinifanyia kituko ndio maana nimelazimika kuingia huku...
Habari zenu waungwana,Siku ya jana nikiwa na rafiki yangu kwenye matembezi alinishawishi tukaudhurie semina katika moja ya makampuni ya kusambaza dawa kama jinsi alivyo nieleza,cha ajabu mafunzo...
Ndugu wana Jf,najiuliza mara nyingi sana juu ya huu mfumo mpya wa ubashiri wa mpira wa miguu nilio uandaa.Binafsi naona inawezekana kabisa,sijui kwa upande wenu
OPTIONS KWA AJILI YA UBASHIRI WA...