Bei ya mti mkomavu na idadi yake ya mbao.

Bei ya mti mkomavu na idadi yake ya mbao.

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
1. Kuna anae jua bei ya mti ulio komaa kabisa vizuri kwa jili yaku chana mbao? Lets say mti una miaka 7-9 hivi.

2. Je mti wa aina hio ya ukomavu au basi kwa kawaida mti ulio komaa vizuri kabisa unauwezo waku toa mbao ngapi kiujumla?

Tume amua na familia kipindi kijacho tufanye zoezi hili mwenyewe na sio kuwapa watu naku pata hasara bure.
 
Mkuu, kata miti kumi toka sehemu mbalimbali za Shamba, simamia kwa uangalifu, chana mbao zake zote. Hesabu jumla ya mbao zote na ugawanye kwa kumi. Utakuwa umepata kwa wastani MTI mmoja utatoa mbao ngapi.
 
Wazo zuri pia... ulisha wai fanya hii kitu mkuu ika kupa uhalisia au mimi ndio nakua pilot ..
 
Back
Top Bottom