Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,763 Reaction score 858,507 Nov 29, 2017 #1 Niliagiza wino ukaja kwa namba tofauti hivyo hausomi kwenye printer yangu uko piece kumi Mwenye printer inayo match na huu wino tufanye biashara
Niliagiza wino ukaja kwa namba tofauti hivyo hausomi kwenye printer yangu uko piece kumi Mwenye printer inayo match na huu wino tufanye biashara
Shark's Style JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 312 Reaction score 183 Nov 29, 2017 #2 Usipo sema compartible models au catridges number ni vigumu kupata mteja
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,763 Reaction score 858,507 Nov 30, 2017 Thread starter #3 Shark's Style said: Usipo sema compartible models au catridges number ni vigumu kupata mteja Click to expand... Yangu ni 526 iliyokuja ni 226
Shark's Style said: Usipo sema compartible models au catridges number ni vigumu kupata mteja Click to expand... Yangu ni 526 iliyokuja ni 226