RAM (memory) inahitajika kwa Macbook Pro

RAM (memory) inahitajika kwa Macbook Pro

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,628
Reaction score
6,561
Waungwana, wapi naweza kupata RAM ya 8 GB (4 GB X 2) kwa MacBook Pro 17-inch mid-2010?

Nimefanya research, nahitaji ya OWC (PC8500 DDR3). Ni duka gani kwenye mji huu wa Makonda naweza kupata hii kitu mpyaaaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom