Nahitaji pikipiki boxer, liyotumika iwe katika hali nzuri

Hata mimi cna uhakika ila sio kwamba imekufa haitembei, hapana! Hiyo piki piki ni ya mwanamama alimpa mtu aitumie siku moja akaja kumwambia pikipiki inasumbua giabox mama kachukia maana ni kama mpya lakini hapelekewi hela kwa hasira akaona auze kwa hasara, hivyo aliniambia tu kwa simu cjaenda kuiona kwa macho nikatathimini ubovu wenyewe mkuu
 
Sawa itapendeza kama utaiona ukanipa taarifa kamili, na sijui ipowapi hii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom