Fursa ya kutengeneza hela

Fursa ya kutengeneza hela

ForeverMore

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
812
Reaction score
1,942
Natoa fursa kwa vijana katika msimu huu wa sikukuu. JIPATIE ELFU 30 KWA MTEJA WA KWANZA UTAKAYEMLETA. ELFU 50 KWA MTEJA WA PILI NA ELFU 70 KWA MTEJA WA WATATU NA ZAIDI.

Tunafunga Online Stock System ambayo pia ina Point of Sale. System hii inatumika madukani kwa ajili ya kuhakikisha uibiwi na mahesabu yako yanaenda sawa. Itakuonyesha idadi ya bidhaa ulizo nazo na hata kukupa taarifa pindi mzigo umepungua au pale bidhaa inapokaribia ku Expire.
Advance Inventory System.jpg


Ina support duka zaidi ya moja kwa wale wenye branches. System ni ya online so unaweza access kwa Computer, Tablet na hata simu. Popte ulipo unaweza jua umeuza kiasi kwenye biashara yako.

Features List
Features.jpg


System inauzwa 450,000Tsh pamoja na ufungaji. Ina support kusoma na pia ku print barcodes (kama zile za supermarket)

Unaweza ingia hapa kujionea mwenyewe ufanyaji wake kazi.
Address: www.inventory.one2oneconsultant.com
Username: demo
(herufi ndogo)
Password: Demo1234 ('D' ni herufi kubwa)

na kwasababu ni ya Online, haijalishi ulipo, tunafunga popote duniani. Namba za simu, email na website yetu zipo kwenye picha.

Karibuni wandugu!

UPDATE
Ili usipitwe na offers kama hizi ambazo tunafanya mara kwa mara like us kwenye facebook
www.facebook.com/one2oneconsultant
 
Tumeshatoa kiasi cha laki 310 mpaka sasa kwa waliochangamkia dili... Wengine bado mmelala... Hahaha
 
Back
Top Bottom