Nahitaji kitanda na Godoro nipo Mwanza

Nahitaji kitanda na Godoro nipo Mwanza

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,070
Reaction score
8,761
Anaeuza kitanda na Godoro Fut 5*6 anicheki Pm..
 
Nenda kwa mafundi wa mitaa ifuatayo

1. Pasiansi karibu na kona ya chuo cha wanyama pori maarufu kama maliasili

2. Makongoro nirani na makongoro primary school

3. Buzuruga stand
 
Mi nauza laki 3 vyote

Gharama za kutuma ni juu yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom