King'amuzi cha Startimes Kinahitajika

King'amuzi cha Startimes Kinahitajika

runna

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
345
Reaction score
793
Wakuu, Mwenye kuuza king'amuzi cha Startimes ( Full set) Dar es salaam aje PM tufanye biashara ..
 
Ingekuwa mikoani ningekupa changu maana mie nataka Azam kwa sasa.
 
Ninacho ila hakina Antena, nipe ofa nikuachie maana nimenunua Azam TV. Nipo Dar!
 
Wakuu mwenye experience na azam anosaidie kuna chenel zimepote hazionekani
 
Mi ninacho ila n cha antena na iyo antena sina ninaking'amuz tu je nakalibishwa au nipite kimy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom