Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Heshima kwenu Wote!
Nilileta uzi hapa kuwa natafuta nyumba ya kununua Tanga mjini, nimepata ila kuna nyumba nyingine mwenye nyumba ameniomba niiitangaze hapa kuwa inauzwa.
Sifa za nyumba.
Ina vyumba vitatu, kati ya hivyo viwili ni master bedrooms (vina vyoo ndani)
Ina sebule, jiko, choo cha public,dinnning na store,nyumba.
Ina maji, barabara hadi mlangoni. Umeme upo karibu.
Nyumba imebakiwa na eneo lingine la wazi (Jumla ina mita 26X50)
Ipo Pongwe, 5km kutoka main road.
Bei 28 milioni
Mwenye uhitaji aje PM.
Asante.